Natafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by smati, Jan 5, 2011.

 1. smati

  smati Senior Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Qualifications ZANGU.

  1. Bachelor in computer science/ information systems
  2. Data bases ( oracle, my sql, postgress, with good knowledge of sql server).
  3. Programing ( java, jsp, j2ee, c/c++, algorithms).
  4. Good knowledge of computer networks ( switch, routers )..
  5. Good knowledge of information systems security.
  6. Good knowledge of computer maintenance procedures.

  Level: Entry.

  PLEASE PM ME IF YOU HAVE ANY VACANCE.
  Thank you.
   
 2. Mathematician

  Mathematician JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2009
  Messages: 326
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kijana jaribu kuwa specific ni wapi umespecialize au ni wapi unafikiri unaconfidence u can do something coz unaonekana ni graduate 'tusameheane endapo nitakuwa nimekudhania vibaya' na hivyo vitu ulivyooutline ni vitu vinene ambavyo unaweza ukacommand mils kadhaa na watu "interviewer"wasikushangae. Usije weka tu kwenye CV kama tulivyozoea ukaanza kutoa macho kwenye usaili mara ooh! tulisoma chuo lakini sijavifanyia kazi ukaanza kutoa ahadi ya kuvifanyia kazi.
  Karibu kwenye soko la ajira la bongo baba, kaza mkwiji utawini lakini subra inahitajika.
  Ahsante.
   
 3. smati

  smati Senior Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mr mathematician, nashukuru kwa ushauri wako. sio kwamba ni expert ni graduate . hivi nilivyo viandika hapa ninaufahamu navyo na nimevitendea kazi kwa namna moja. Ndio maana nimesema natafuta entry level. Asante tena kwa ushauri wako.
   
Loading...