Natafuta kazi

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
1,025
1,173
me ni kijana nasomea mambo ya IT natafuta kazi kama kuna mtu nahitaji kijana kma mimi ani pm ila bado sijamaliza chuo but ni enough skills .
mambo ambayo naweza kufanya ni
networking
ku create web site
kutengeneza pc pamoja na kupiga window aina zoote
na pia server kama kuna mtu anahitaji kijana mwenye sifa zangu ani pm
kwa maelezo Zaidi kuhusu mimi tutaongea PM
 
Unapiga window? Ndiyo nn hiyo?

1. uko vizuri katika UI design?
2. iOS programming?
3. Adroid?
4. Database design?
 
Back
Top Bottom