Natafuta Kazi za viwandani

Natafuta Kazi za viwandani

slaqueen

Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
18
Reaction score
3
Habari jf, nina ndugu yangu anatafuta kazi za viwandani au zinazoendana na carrier yake. Ni msichana, umri 25, anaishi dar. Ana cheti cha hotel management! Pliz mwenye connection yoyote naomba msaada! Ni pm! Asanteni
 
Hotel au viwandani? Zanzibar Alisha wahi fika? Mimi binafsi sija wahi fika Ila kutokana na vyanzo aminifu kwangu Arusha na Zanzibar kuna hoteli na jobs Zake nyingi..
 
nakushauri mkuu,aende nje ya dar,.aende kijiji cha arusha,au tanga,hata mjini moro anaweza kupata kakazi...nje ya dar fursa zipo za kutosha tu,dar watu washakaba
 
Habari jf, nina ndugu yangu anatafuta kazi za viwandani au zinazoendana na carrier yake. Ni msichana, umri 25, anaishi dar. Ana cheti cha hotel management! Pliz mwenye connection yoyote naomba msaada! Ni pm! Asanteni
Ni pm kama anaweza kuja kilombero sugar kuna nafasi za kazi ila awe mvumilivu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom