E Electrician j New Member Joined Feb 19, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Feb 20, 2015 #1 Habari za mida wapendwa Naitwa Jovin, napatikana Musoma Mjini. Nina umri was miaka 23 Nina elimu ya Level 3 ya Electric Installation natafuta kazi za Umeme wa majumbani au magorofani na viwandani Atakae niitaji mawasiliano no 0683648451 au email jovin.daud@yahoo.com Kazi njema wapendwa
Habari za mida wapendwa Naitwa Jovin, napatikana Musoma Mjini. Nina umri was miaka 23 Nina elimu ya Level 3 ya Electric Installation natafuta kazi za Umeme wa majumbani au magorofani na viwandani Atakae niitaji mawasiliano no 0683648451 au email jovin.daud@yahoo.com Kazi njema wapendwa
D defule Senior Member Joined Feb 9, 2015 Posts 128 Reaction score 21 Feb 21, 2015 #2 Tumekuona Jovin tukihitaji tutakutafuta!
Badawisaidi Member Joined Aug 9, 2017 Posts 49 Reaction score 55 Oct 15, 2019 #3 Pole sana yaani pamoja sana .yaani hata Mimi nafuta kazi hizohizo.
Badawisaidi Member Joined Aug 9, 2017 Posts 49 Reaction score 55 Oct 15, 2019 #4 labda tutafute kusablihii material....