Hebu jaribu kwenda RAHA TOWER, ghorofa ya pili chumba #12 , kuna kampuni inaitwa AC NIELSEN wanashughulika na research na mpk sasa hivi watu wapo location
Raha Apartments Ltd.
Raha Towers,
34/35 Maktaba Street, Kisutu.
kwenye mataa yale yakuelekea posta mpya karibu na maktaba kuu kuna ghorofa limendikwa raha tower ndio hapo
Mkuu, nenda pale TNS karibu na ofisi za clouds nao pia wanadeal na research issues ambapo wanalipa Tshs.2500/= per questionnaire ukijaza, vile vile kuna wale Synovate ambao wako karibu na shoppers plaza nao wanapiga hizo issue. kila la kheri mkuu!
Time will tell kuwa idle sio kwamba u are nt competent, the issue is opportunities, cz u may have much of skills bt the place to apply ur skills become unopen
naprefer kufanya kazi na research firms hasa kwa permanent contract, nimejaribu zote nimekosa, so i have to hustle kuendelea kutafuta hata hizo za part time