Natafuta kazi za research au sabasaba

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,136
3,924
Nina uzoefu wa kufanya kazi za research.Mwenye kujua taasisi wanazotaka vijana wachapa kazi kama mi anijuze au kuniunganisha.

Mtaani pagumu.Nilishafanya synovate.Pia za saba saba.

Please contact 0766731503.
 
Kwanini uliacha synovate/ipsos
 
Ukiwa bado hujapata kazi unayoitaka pita pita kwenye vyuo vikuu kuna watu wanapenda kufanyiwa research then wao wanakwenda tu kupresent watakupa hela:(
 
Back
Top Bottom