Anna pita JF-Expert Member Joined Jul 10, 2012 Posts 227 Reaction score 430 Aug 19, 2013 #1 Jamani wapendwa natafuta kazi za ndani kwa Mwanza na Dar.
majoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 2,762 Reaction score 5,363 Aug 19, 2013 #2 Anna pita said: jamani wapendwa natafuta kazi za ndani kwa mwanza na dar, Click to expand... Mmmm umetokea wapi? isije ikawa umekimbia kwa mume! hebu tupe historia fupi ya maisha yako; ukielezea elimu, ujuzi ulionao, umri, changamoto ulizopitia na mambo yanayokuhusu
Anna pita said: jamani wapendwa natafuta kazi za ndani kwa mwanza na dar, Click to expand... Mmmm umetokea wapi? isije ikawa umekimbia kwa mume! hebu tupe historia fupi ya maisha yako; ukielezea elimu, ujuzi ulionao, umri, changamoto ulizopitia na mambo yanayokuhusu
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Aug 20, 2013 #3 kwaiyo nje ya mikoa hiyo hutaki, au ndio wataka tukufikishe mjini uanze mbwembwe. me nataka mfanyakazi ila nipo mbeya . tupe background yako
kwaiyo nje ya mikoa hiyo hutaki, au ndio wataka tukufikishe mjini uanze mbwembwe. me nataka mfanyakazi ila nipo mbeya . tupe background yako
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Aug 20, 2013 #4 namba ya simu hakuna unaandika andika tu, jieleze tukutafute