mama lubango
Member
- Aug 16, 2011
- 56
- 8
Toa specification zako
kabla watu hawajakuzukia pm ujue utakuwa unaachiwa nyumba ya watu wakati
wenyewe wako kazini, elezea unaoshi wapi, utakuwa wa kwenda na kurudi
au kulala, mshahara ulipwe sh ngapi, referree wako ni nani, ushawahi
kufanya kazi za ndani au ndo inajaribu,umri wako, umeolewa au umeachika,
una watoto, unawatu wanaokutegemea mwaga cv yako mama utapata pm nyingi
tuu. All the best.
Nitakupa kiwango cha chini kilichopitishwa na serikali (40,000)Nipo dar lakini pia mwanza naweza kufanya kazi. Nipo tayari kulala au la. nina miaka 24 sina anaenitegemea sijaolewa wala sina mtoto. Naweza kufanya kazi zote za ndani pia ni mtalaam wa mapishi. Mshara maelewano
Kutokana hali ngumu ya maisha inayotaka kunikabili nimeamua kuwa house girl ili nipate mahitaji yangu ya kila siku.
Naweza kufanya popote hata kwa wazungu coz I can speak english fluently.
Please mwenye shida na house girl anipm na hatajutia uamuzi wake
xaxa hapo kwenye mstari mwekundu ndo panaleta utata kwani wadau tunahofia usije uka fanya "take -off stage" ya kuingia kwenye boom. hebu fafanua vizuri kabla hujapewa shavu.Nipo dar lakini pia mwanza naweza kufanya kazi. Nipo tayari kulala au la. nina miaka 24 sina anaenitegemea sijaolewa wala sina mtoto. Naweza kufanya kazi zote za ndani pia ni mtalaam wa mapishi. Mshara maelewano