Natafuta kazi za kuchapa (ku-type)

Natafuta kazi za kuchapa (ku-type)

Kazi yoyote ile ya kuchapa (ku-type).
Bei maelewano, pia kazi unaipata kwa muda unaotaka. Speed ya kuchapa ipo vizuri sana.

Excel
Microsoft word
Publisher
Power point
Access
Pia nafanya
Illustrator
Photoshop& lightroom
In Desgn n.k
Karibu tugawane riziki

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mkuu usiende pale kibaha makao makuu ya ofc za nida wanahitaji watu kama wewe dator cleark

Kwa shift unalipwa sh 10,000 per day ukivumilia humo humo unapata na ajira kama unavyo vyeti

Ni ushauri wangu huo mkuu

sent from toyota Allex
 
Hizi kazi hadi Leo zipo?
 
Kwa nini mkuu usiende pale kibaha makao makuu ya ofc za nida wanahitaji watu kama wewe dator cleark

Kwa shift unalipwa sh 10,000 per day ukivumilia humo humo unapata na ajira kama unavyo vyeti

Ni ushauri wangu huo mkuu

sent from toyota Allex
Hizi bado zipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom