Ngualo Seleman
Member
- Apr 23, 2017
- 13
- 0
Nipo masasiMtwara sehem gan upo ndg yng?
Mmmmh cjakuxoma axeeCho lelooo mkuu,.nihongwelelaa??
Pole mkuu,nilikuwa nakusalimu kwa kimakua nikijua ni wa nyumbani masasi[emoji4]Mmmmh cjakuxoma axee
Hahahaaa mi ni mmwera mkuuPole mkuu,nilikuwa nakusalimu kwa kimakua nikijua ni wa nyumbani masasi[emoji4]
Hata kuku wanahitaji capitalHufai ajiriwa
Yaani unesoma weee unashindwa haya fuga kuku
Teh teh teh ndio nini?Cho lelooo mkuu,.nihongwelelaa??
Hata kuku wanahitaji capital
mkuu kama maisha hayajakupiga vizuri huwezi jua adha ya kukaa mtaani... ni rahisi sana kumwambia mtu afanye kitu ambacho hata ungekuwa wewe usingekifanyaKwa hiyo wewe ulikuwa unasoma bila malengo?
Yaani afisa kilimo na mifugo unataka uajiriwe kweli?
Kitu gani ulikuwa wajifunza darasani?
Uza simu yako nunua kuku
Tatzo anachkulia poa niuze cm hao kuku watakula nn mwxho c utanxhaur niuze nguomkuu kama maisha hayajakupiga vizuri huwezi jua adha ya kukaa mtaani... ni rahisi sana kumwambia mtu afanye kitu ambacho hata ungekuwa wewe usingekifanya
hahahaha kwa sauti ya kala jeremiahKwa hiyo wewe ulikuwa unasoma bila malengo?
Yaani afisa kilimo na mifugo unataka uajiriwe kweli?
Kitu gani ulikuwa wajifunza darasani?
Uza simu yako nunua kuku
Nichki bax tupanganeuje iringa tuungane tulime nyanya !!mtaji naku kopesha mimi miaka miwil utanilipa!!
mkuu unahisi kuwekeza kwenye kilimo ni kazi rahisi ee?Kwa hiyo wewe ulikuwa unasoma bila malengo?
Yaani afisa kilimo na mifugo unataka uajiriwe kweli?
Kitu gani ulikuwa wajifunza darasani?
Uza simu yako nunua kuku