kwa kuwa umeileta jukwaa la ujasiriamali inabidi tukushauri ki hivyo anza shughuli yeyote ile iwe ya ufugaji, kulima bustani, kupika chakula unakisambaza (sio lazima uwe na hotel) viji shughuli vipo vingi tu, najua utasema mtaji shida kwa sasa kuna fursa hii ya uchaguzi usilaze damu uwe msimamizi wa uchaguzi msaidizi au karani au vyovyote huwezi kosa Tsh 30,000 hadi 50,000 huo ndo uwe mtaji wako sasa. hizi kazi zinahitaji ushapu wako tu. Na acha kusikia maneno ya uwoga. otherwise uwe mwoga ila nafasi zipoMimi kijana mwenye miaka 24 niña elimu ya forma 4 natafuta kazi yeyote gente maslahi yakuniwezesha mimi kuendesha maisha iwe ya nyumbani hotelini su viwandani
Wakati unasubiria pata hela kwa ku
Click link hii hapa chini kisha fuata
maelekezo ya kujiregister na kusign in
upate pesa yako.ya kujikimu .
Jobrize.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
ref=424994