Natafuta Kazi yoyote

Natafuta Kazi yoyote

minagirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
269
Reaction score
35
Habarini za asubuhi ndugu zangu.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo, niko mwaka wa tatu yaani natarajia kumaliza chuo mwezi Juni, if God wishes. Kwa sasa nasoma kozi chache ukilinganisha na miaka iliyopita. Nimeona ni bora nitafute kazi yoyote ili nipate mtaji wa kuanzia biashara mara baada ya kumaliza masomo yangu, nasoma Education kwa hiyo kama mtu ana twisheni center, au kama unajua shule inayohitaji mwalimu wa tempo kiswahili na English, kuuza hotel, na kazi yoyote ya halali naomba msaada wenu jamani.
 
Kwakua bado upo school, jaribu volunteer kaka, sio ajira.
 
Back
Top Bottom