mbena yero
Member
- Jan 13, 2017
- 53
- 21
uzoefu wa kutokua na kazi au[emoji56] [emoji56]Unauzoefu wa muda gani mkuu
Ndiyo mkuu hata kutunza garden nipo tayarKazi Hata ya kutunza garden?au Duka?ungeweka wazi kwanza unapendelea nn
Nashukuru kwa ushauri nduguUsikate tamaa
AsanteKila la kheri
Ninauzoefu tu na biashara ila sijasoma masomo ya biashara, na katika ufaulu wangu kidato cha nne nina division four ya point 27, History F, kisw B, math D, Geography D, Civics D, Biology D, English D.weka cv tuione
Amina.Mungu atakusaidia..
Hata garden ndioKazi Hata ya kutunza garden?au Duka?ungeweka wazi kwanza unapendelea nn