Natafuta kazi yoyote ya halali

Natafuta kazi yoyote ya halali

mbena yero

Member
Joined
Jan 13, 2017
Posts
53
Reaction score
21
Habari za muda huu ndugu zangu, nakuja tena kwa awamu nyingine mimi ni Mwanaume umri wangu ni miaka 25 Elimu yangu ni kidato cha nne, nipo mkoa wa Iringa, nipo hapa kutafuta kazi kwa yeyote atakae kuwa na uhitaji wa mfanyakazi au kwa yeyote atakae nisaidia hatua au ushauri wowote juu ya hili ombi langu, Asanteni
 
Kazi Hata ya kutunza garden?au Duka?ungeweka wazi kwanza unapendelea nn
 
weka cv tuione
Ninauzoefu tu na biashara ila sijasoma masomo ya biashara, na katika ufaulu wangu kidato cha nne nina division four ya point 27, History F, kisw B, math D, Geography D, Civics D, Biology D, English D.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom