Natafuta kazi yoyote ya halali

Mar 25, 2017
70
44
Ndugu zangu natafuta kazi yoyote,niko mkoa wa mwanza.
Naweza kufanya kazi yoyoye ya kitaaluma hata kama sikuisomea na niko tayari wakati wowote,kama kuna mtu anahitaji tunaweza kuwasiliana!!!
Binafsi nina shahada ya awali katika mambo ya tekinlojia ya habari yaani IT
Napenda kufanya kazi zinazohusisha project zaidi
AHSANTE
 
G4S kwa ninavyojua Mimi ni kampuni la ulinzi,kumbe huwa wanatoa na ajira zingine kutokana na fani yako au sijaelewa?
 
G4S kwa ninavyojua Mimi ni kampuni la ulinzi,kumbe huwa wanatoa na ajira zingine kutokana na fani yako au sijaelewa?
Ukimaliza training yao unapata kitego ndiyo na post zao kwa huku huwa migodini tu ukifika mgodini utapata wenyeji pia unauwezo wa kushift simple tofauti na kufight ukiwa nje ukweli wenye degree wengi wanapitia mfumo huu tena IT ni shavu
 
LTN USU WA MADOSO;
G4S haifanyi training kwa ajili ya migodini tu. Hili kampuni ya ulinzi linafanya ulinzi kuanzia Nyumba za watu adi viwandani adi migodini. Mara nyingi wanaopelekwa migodini ni wale waliopitia mafunzo ya jkt.

Kuhusu suala la watu wenye taaluma kuomba kazi huko mimi pia nawashauri waombe kazi huko make kampuni hiyo INA maono mazuri sana kwa siku za mbeleni. IT ukiomba kazi utafanya kazi control room ambapo maslahi pia ni kuzuri kiasi chake

Taadhari lazima uwe mvumilivu kiasi make mnaweza kumaliza training na mkakaa nyumbani kwa siku kadhaa nafasi zikiwa zinatafutwa. Pia kuna Mungu watu kiasi pale pia
 
Umemshauri vizuri sana but kwa wanaokuwa train hapa Mwanza wote wanapangiwa kazi mgodini hupangiwa kazi buzwagi, north Mara, bulyanhulu but akiingia na fani yake ya IT hatajuta kikubwa avumilie tu
 
OK nilikuwa sijaelewa kumbe una trainiwa kuwa mlinzi hata kama haujawahi kupitia mafunzo yoyote ya ulinzi?
 
Samahani kwa maswali mengi vigezo na masharti vikoje mi ni mdada?
Unatakiwa uwe umemaliza form four na kufaulu Au degree Sawa tu ujue kingereza cha kuongea na kuandika interview yao huwa ya math na English ukifaulu interview kuna training ya wiki mbili kuingia darasani kusoma huku mkifanya na mtihani ukimaliza training tu Post kwa Mwanza huwa migodini tu north Mara, buzwagi, bulyanhulu mshahara wao kwa form four laki tatu na nusu per month mgodini unakula bure na kulala bure plus kufuliwa
 
Nataka kuongea na wewe private but mi mgeni humu jf nashindwa kuitumia pm...plz nifate ww pm unitumie namba yako kama hautajari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom