Natafuta kazi yoyote isipokuwa ya baa

Natafuta kazi yoyote isipokuwa ya baa

Sasa mbona hujibu.Nimekutumia meseji
 
Mi npo mbeya embu npm nikupe kazi
 
Kama unaweza kukubali kusafir wewe mtu mkwetu

Ni pm na utaja huku kanda ya ziwa kuuza site ya cement na mbao

Soon nafungua nyingine waweza ni pm then nitakujulisha utaratibu
 
Kuna Kuna kaz nitumie no yako kapicha kangu utakapata au nichek WW kweny iyo no apo juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom