Niko Banane
Member
- Jan 29, 2019
- 5
- 21
Habari zenu wan JF, Mimi in kijana mwenye umli wa miaka 23, mkazi wa jiji LA dar es salaam, nimehitimu nimehitimu kidato cha nne mwaka 2016. Na nimesoma cozi ya computer maintenance and repair chuo cha dar es salaam institute of technology. DIT.
Na Nina ujuzi mkubwa wa computer .
Nipo tayali kufanya kazi yoyote inayohusiana na computer au tofauti na hiyo
Mawasiliano yangu
Namba 0758668707
Email princenicholaus91@gmail.com
Na Nina ujuzi mkubwa wa computer .
Nipo tayali kufanya kazi yoyote inayohusiana na computer au tofauti na hiyo
Mawasiliano yangu
Namba 0758668707
Email princenicholaus91@gmail.com