Natafuta Kazi yoyote hata kama ni nje ya Tanzania! Elimu yangu ni kidato cha pili

Ngoja nifanye job Re-advertisement nione nakusaidiaje huwezi acha letter CV ipotee hivi hivi.....

šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜… nimehis una vigezo vingi sana mara wali usinukie nazišŸ˜‚šŸ˜‚..ss had nikasema nawwza kupika si nina uzoefu tayari jamanšŸ˜Š
 
šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜… nimehis una vigezo vingi sana mara wali usinukie nazišŸ˜‚šŸ˜‚..ss had nikasema nawwza kupika si nina uzoefu tayari jamanšŸ˜Š
Really hutakiwi kuogopa hivo, ushawahi ona vile vigezo vya kazi labda wanatafuta tu let say driver yaani ni mtiririko wa masharti sijui awe anajua english, Mara computer literate, mara communication skills, hakifika kazini anaangaliwa leseni afu anaongelewa kiswahili...
 

šŸ˜‚šŸ˜‚ basi nimekuelewa mwajiri wangu
 
Dodoma zpo tenda kibao ktk ujenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Best wishes mkuu, umejielezea vizuri sana ningekuwa na kazi ningekupa.
 
Kuna kazi za "ndani" falme za kiarabu hupo tiyari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya viungo dili sana sasa hivi kuwa makini Figo yako tusije kuikuta KCMC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreā€¦