Natafuta Kazi yoyote hata kama ni nje ya Tanzania! Elimu yangu ni kidato cha pili

😅😅😅 nimehis una vigezo vingi sana mara wali usinukie nazi😂😂..ss had nikasema nawwza kupika si nina uzoefu tayari jaman😊
Really hutakiwi kuogopa hivo, ushawahi ona vile vigezo vya kazi labda wanatafuta tu let say driver yaani ni mtiririko wa masharti sijui awe anajua english, Mara computer literate, mara communication skills, hakifika kazini anaangaliwa leseni afu anaongelewa kiswahili...
 
😂😂 basi nimekuelewa mwajiri wangu
 
Habari za muda huu ndugu zangu ,

Mimi ni kijana mwenye miaka 29 Elimu yangu ni kidato cha pili. Niliishia hapo kutokana na kushindwa kumudu gharama za shule. Kutokana na hayo nikaamua kuingia mtaani kusaka maisha.

Kwa bahati mbaya huku nilipo kazi zimekuwa ya shida kweli. Nimekuwa nikiwaomba marafiki zangu wengi wanitafutie kazi, ndipo nikakutana na mmoja akanishauri nijiunge na hii familia ya JAMIIFORUMS kisha nilitume ombi langu la kutafuta kazi

Kaka zangu nimekuja hapa kuomba kwa yoyote aliye na kazi au aliyesikia kazi mahali anishirikishe ili niende nikafanye. Niko tayari kwenda popote kufanya kazi iliyohalali, hata kama ni nje ya ardhi ya Tanzania ,mfano Kenya Uganda n.k

Nimesema sichagui kazi wala sehemu ya kufanyia kikubwa kazi isiwe ya haramu .

Nikipata kazi ya kuuza maduka iwe ya jumla au rejareja niko sawa tu, nikipata kazi sheli niko sawa tu, nikipata kazi ya ulinzi niko sawa tu, nikipata kazi ya kusimamia mradi niko sawa tu, nikipata kazi kwenye magari ya masafa marefu niko sawa tu.

Nikipata kazi kwenye kampuni za wanyama pori niko sawa tu, na kazi nyingine nyingi nina uwezo wa kufanya. Kikubwa maelewano

Na pia sijaoa kwahiyo nikipata kazi sitakuwa na usumbufu wa kusema naomba siku mbili tatu nikasalimie mke na watoto .

Niko tayari kufanya kazi yako ,Naomba kazi
Niko tayari kufanya na wewe ,Naomba kazi

Pia kwenye kazi zinazohitaji kuandika na kupiga hesabu ,usihofu niko vizuri

Kwa aliye tayari aliambie ili tupeane mawasiliano .

Niko serious ndugu zangu ,hata mtu akiniambia niende kesho nikafanye kazi naenda tu .
Mungu awabariki sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma zpo tenda kibao ktk ujenzi

Kuna kazi za "ndani" falme za kiarabu hupo tiyari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya viungo dili sana sasa hivi kuwa makini Figo yako tusije kuikuta KCMC.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom