Natafuta Kazi yoyote hata kama ni nje ya Tanzania! Elimu yangu ni kidato cha pili

Sasa graduate watazipataje wakati wao ni wasafi hawako tayari kudhalilika, uliona wapi graduate yupo kituo cha mafuta au anaosha magari au kukaanga chipsi, simply no yaani graduate amejikaza sana unaeza mkuta yupo mapokezi au tigo pesa kubwa na ukimuuliza nakuona unapambana bhana yeye anakujibu napoteza poteza muda hapa mkuu, yaani Graduates bhna wa africa wanasemaga napoteza poteza muda utazani wao ni mabahari wa kuchezea muda na kuuleta ujae tena.....
Ubariki kwa kumjibu huyu ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom