Ubariki kwa kumjibu huyu nduguSasa graduate watazipataje wakati wao ni wasafi hawako tayari kudhalilika, uliona wapi graduate yupo kituo cha mafuta au anaosha magari au kukaanga chipsi, simply no yaani graduate amejikaza sana unaeza mkuta yupo mapokezi au tigo pesa kubwa na ukimuuliza nakuona unapambana bhana yeye anakujibu napoteza poteza muda hapa mkuu, yaani Graduates bhna wa africa wanasemaga napoteza poteza muda utazani wao ni mabahari wa kuchezea muda na kuuleta ujae tena.....
Tukielewana na mhusika passport sio shida ,nitakataunataka kazi pia za inje ya TZ una Mkoba AKA Passport au utaenda na kitambulisho cha kura
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Manengelo si dume?Yah! na nimeshampata tayari. Manengelo. Muda ukiwadia nitamtafuta pm.
Hata wewe sio!!! AhahaKila la heri mkuu..hata mm.natafta kazi ukipata tushtuane..
Mi kazi hiyo hipo saa hii ni pm usisubiri ya yule.nipo serious mkuu..tuacje masikhara basi jaman.
kazi gan mkuu..Mi kazi hiyo hipo saa hii ni pm usisubiri ya yule.
Ya kupikiwa mshahara maelewanokazi gan mkuu..
ninapikia watu wangapi mkuu (uwe seriuos mie sichagui kazi)Ya kupikiwa mshahara maelewano
Mtu mmoja tuninapikia watu wangapi mkuu (uwe seriuos mie sichagui kazi)
haya..mshahara unakuwaje?πMtu mmoja tu
Maelewano pm tusichafue thread ya mtu π π π€π€haya..mshahara unakuwaje?π
Wewe una uhakika ni fundi wa mapishi jikoni isiwe hakinuki nazi, maana mi nataka mpishi hodari.....ninapikia watu wangapi mkuu (uwe seriuos mie sichagui kazi)
Wewe una uhakika ni fundi wa mapishi jikoni isiwe hakinuki nazi, maana mi nataka mpishi hodari.....
πππ bas..acha kazi nikose tuMaelewano pm tusichafue thread ya mtu π π π€π€
Kwamba umesema?πππ..htufaani ww nahis
nimesurrender na kazi yakoKwamba umesema?