Natafuta kazi yoyote halali

Natafuta kazi yoyote halali

sangaima

Member
Joined
May 16, 2023
Posts
77
Reaction score
104
Habari wote mimi ni kijana wa Kiume miaka 28 Natafuta kazi yeyote ile yenye kulipa ninaujuzi katika sales, marketing, graphic design, tourism, management, negotiation na pia kingereza nazungumza vizur.

Nina degree ya Uchumi ila kwenda Veta ngumu (pesa ya ada sina na nina wategemezi). Tafadhali anaeajiri au mwneye connection nitashukuru kwa msaada.

Mawasiliano: 0789412111
 
Salaam...
yani fani zotee hzo ulizonazo...
Ujuzi wote huoo ulionaoo kijana wa 28 huna kazii.....unatafta kazi.....
Ata kujiajiri unashndw jmn
Tumia degree ya economics kuujenga uchumi wako isbakie digrii ya makaratasi
Kuna watu hawana hzo fani na skills zote ulizonazo na umri wako hawajafikia ila wamekuwa very creative wameanzisha products, small investiments...
 
Kuna Jamaa Anapostigi kazi za Zanzibar, Anaitwa " Kalaga Baho Nongwa " yupo humu Mcheki Atakusaidia.
 
Salaam...
yani fani zotee hzo ulizonazo...
Ujuzi wote huoo ulionaoo kijana wa 28 huna kazii.....unatafta kazi.....
Ata kujiajiri unashndw jmn
Tumia degree ya economics kuujenga uchumi wako isbakie digrii ya makaratasi
Kuna watu hawana hzo fani na skills zote ulizonazo na umri wako hawajafikia ila wamekuwa very creative wameanzisha products, small investiments...
Nashukuru kwa ushauri mzuri kaka. Kusema ukwel nina 100's if not 1000's business ideas ila changamoto ni mtaji especially kwangu na wengi out there wenye hali kama yangu ya kuwa wanategemewa ( na wazazi wazee, wadogo nyumbani nakdharika) fedha yeyote ndogo nayoipata nakusema niihifadhi ili nitengeneze mtaji inalazimika kusukuma maisha yangu na walio nyuma yangu.
 
Habari wote mimi ni kijana wa Kiume miaka 28 Natafuta kazi yeyote ile yenye kulipa ninaujuzi katika sales, marketing, graphic design, tourism, management, negotiation na pia kingereza nazungumza vizur.

Nina degree ya Uchumi ila kwenda Veta ngumu (pesa ya ada sina na nina wategemezi). Tafadhali anaeajiri au mwneye connection nitashukuru kwa msaada.

Mawasiliano: 0789412111
Habari tunatafuta mwalimu/Waalimu wa Computer, Lugha (english,Germany....) na tour guide na toursim/
Aliye na interest tuwasiliane na nitumie Cv yako 0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom