Mugabe Jr
Senior Member
- Aug 19, 2020
- 161
- 287
Shikamoni wakubwa,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mtanzania, mkazi wa mkoa wa mwanza. Nimekuja mbele zenu kuomba msaada wa kupatiwa kazi yoyote halali.
Nina ujuzi wa kutumia program mbalimbali za kompyuta: microsoft office, excell, power point.
. NIKO TAYARI KUFANYA KAZIIIII YOTE NDUGU ZANGU NISAIDIEEEENI.