Milale JF-Expert Member Aug 29, 2013 494 189 Apr 20, 2016 #1 Habar zenu Wana jf mm ni kijana wa kitanzania nimejitokeza kwenu kuomba Kazi yyt halal ya kuniingizia kipato. 0654957658
Habar zenu Wana jf mm ni kijana wa kitanzania nimejitokeza kwenu kuomba Kazi yyt halal ya kuniingizia kipato. 0654957658
U UKAWA2 JF-Expert Member Apr 22, 2014 2,182 1,970 Apr 21, 2016 #2 Unafikiri ni kwa nini hadi saizi watu 50 wameshausoma uzi wako na hakuna iliyechangia hata mmoja?.Ni kwa sababu uzi wako haujajieleza vya kutosha.
Unafikiri ni kwa nini hadi saizi watu 50 wameshausoma uzi wako na hakuna iliyechangia hata mmoja?.Ni kwa sababu uzi wako haujajieleza vya kutosha.