N neyhansy Member Joined Apr 7, 2014 Posts 10 Reaction score 3 Apr 9, 2014 #1 Habari zenu wana JF. Mimi ni kijana ambaye nimehitimu Mafunzo ya Uzalishaji wa Mifugo na Afya ya Mifugo katika ngazi ya astashahada, natafuta kazi yoyote ambayo inaendana na course yangu. Naombeni msaada wenu wana JF.
Habari zenu wana JF. Mimi ni kijana ambaye nimehitimu Mafunzo ya Uzalishaji wa Mifugo na Afya ya Mifugo katika ngazi ya astashahada, natafuta kazi yoyote ambayo inaendana na course yangu. Naombeni msaada wenu wana JF.
Baba Kapompo JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 1,344 Reaction score 468 Apr 9, 2014 #2 vumilia nawaita..wanakuja soon