Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu kidato cha sita 2012, nilipata bahati ya kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma 2012-2013 kwa bahati mbaya nikakosa mkopo.
Nilijaribu kufuatilia Loan Board ila sikufanikiwa hali yangu ya kimaisha kifedha ilikua sio nzuri chuoni hapo, msosi wangu ni wakulenga nikaamua kusitisha mwaka na kujaribu kuingia jeshini nilipofika kwenye usaili sijapata bahati ya kupita.
Na sasa nipo mtaani nikijaribu kutafuta kazi ambayo itaweza kunipatia pesa za kuniwezesha kurudi chuo na kuendelea na masomo yangu lakini mpaka sasa sijaweza kupata kazi.
Naomben mnisaidie ndugu zangu nipo tayari kufanya kazi yeyote na mahali popote.