Natafuta kazi yeyote

olesiteti Jr

Member
Jul 6, 2016
96
59
Kwanza kabisa napenda kuwa takia kheri ya mapumziko ya eib mubarakha mimi ni kijnana umri miaka ishirin na 22 Nipo Arusha elimu yang ni form iv point 31 fani udereva darajaD na computer basic application course pia na uwezo wa kuendesha biashara yeyote halali ..nime kuja mbele yenu mnisadie maana na amin kuwa nyinyi nikama ndugu zangu na nipo tayari kufanya kazi katika mazingira yeyote yasiyo kiuka haki za kibinadamu 0717997244
 
Kuna kazi zingine inategemea na afya yako,elimu,na ujuzi wako hivyo usiseme unatafuta kazi yoyote
 
Arusha wapo mabilionea kazi hukosi ila Arusha bila kujua English kazi ni tatizo.

Waajiri wengi ni sector ya utalii.
 
Kama upo radhi kwa kazi yoyote implication yake ni kuwa unaweza kuanzisha yoyote ile ya kwako mwenyewe ukafanikiwa
 
Kwanza kabisa napenda kuwa takia kheri ya mapumziko ya eib mubarakha mimi ni kijnana umri miaka ishirin na 22 Nipo Arusha elimu yang ni form iv point 31 fani udereva darajaD na computer basic application course pia na uwezo wa kuendesha biashara yeyote halali ..nime kuja mbele yenu mnisadie maana na amin kuwa nyinyi nikama ndugu zangu na nipo tayari kufanya kazi katika mazingira yeyote yasiyo kiuka haki za kibinadamu 0717997244

Anza kujisogeza taratibu Mkoani Dodoma Mkuu kwani tarehe 23, July 2016 huenda pakawa na Kazi ya kuokota " majeruhi " wengi na Simu ambazo Watu wataziacha baada ya kula " virungu " vya kutosha vya Police na kutumia muda wao mwingi kujikuna kutokana na miwasho ya magari ya kuwasha ya FFU huku wakiwa wanatoka " baru ". Fursa ya bure hiyo Mkuu usiseme sijakuambia!
 
Anza kujisogeza taratibu Mkoani Dodoma Mkuu kwani tarehe 23, July 2016 huenda pakawa na Kazi ya kuokota " majeruhi " wengi na Simu ambazo Watu wataziacha baada ya kula " virungu " vya Police na kutumia muda wao mwingi kujikuna kutokana na miwasho ya magari ya kuwasha ya FFU huku wakiwa wanatoka " baru ". Fursa ya bure hiyo Mkuu usiseme sijakuambia!
hahahahaahhahahahahahahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom