Kama bado hujapata kazi ni pm nikupe idea nzuri ya kazi.....Habari wanajukwaa mm ni kijan miaka yangu ni 27 natafuta kaz yeyote ya mashambani ili niweze kujikim kimaisha.
1. Kusimamia shamba,mazao ya nafaka matunda
2. Kusimamia miradi ya ufugaji, km vle kuku ngombe wa maziwa nguruwe,
3. Kusafisha shamba por(kufyeka na kungo'oa viski) kweny Kilimo nipo vizur kwenye mambo ya matunda, viungo, mbogambog, Nafaka mipunga, kwenye ufugaji kusimamia mradi wa kuku nipo vizuri hasa kwa kuku wa kienyeji kuwafuga kisasa.
Nipo mbeya mbarali kwa sasa.
Kwa hali ilipofikia mpaka ufugaji kuku watu wanaitwa kwa vyeti sio poa aisee
K
Kwa hali ilipofikia mpaka ufugaji kuku watu wanaitwa kwa vyeti sio poa aisee
Nadhani ni issue ya documentation, shamba la kuku ni kampuni kamili, siyo swala la kujuwa kusoma na kuandika tu.K
Kwa hali ilipofikia mpaka ufugaji kuku watu wanaitwa kwa vyeti sio poa aisee
HahahahahaNadhani ni issue ya documentation, shamba la kuku ni kampuni kamili, siyo swala la kujuwa kusoma na kuandika tu.