pet geo pet JF-Expert Member Jun 30, 2018 462 644 May 10, 2020 #1 Wakuu habarini! Mimi ni kijana kwenye umri miaka 27 elimu yangu ni shahada ya uwalimu ..nilihitimu mwaka 2018. Nipo mbele yenu kutafuta kazi yeyote ile ili niweze kuishi katika kipindi hiki cha janga hili la corona.. Mtu yeyote mwenye kazi naomba aniambie kwa sibagui kazi ...kazi yeyote naweza kufanya. Msaada wakuu! Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habarini! Mimi ni kijana kwenye umri miaka 27 elimu yangu ni shahada ya uwalimu ..nilihitimu mwaka 2018. Nipo mbele yenu kutafuta kazi yeyote ile ili niweze kuishi katika kipindi hiki cha janga hili la corona.. Mtu yeyote mwenye kazi naomba aniambie kwa sibagui kazi ...kazi yeyote naweza kufanya. Msaada wakuu! Sent using Jamii Forums mobile app
pet geo pet JF-Expert Member Jun 30, 2018 462 644 May 11, 2020 Thread starter #3 financial services said: Kila la kheri mkuu. Click to expand... Shukran! Sent using Jamii Forums mobile app
financial services said: Kila la kheri mkuu. Click to expand... Shukran! Sent using Jamii Forums mobile app
pet geo pet JF-Expert Member Jun 30, 2018 462 644 May 11, 2020 Thread starter #4 Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
tang'ana JF-Expert Member Apr 3, 2015 11,813 15,079 May 11, 2020 #5 njoo tuvune alizeti huku kibaigwa mkuu.
pet geo pet JF-Expert Member Jun 30, 2018 462 644 May 11, 2020 Thread starter #6 Mkuu njoo pm tang'ana said: njoo tuvune alizeti huku kibaigwa mkuu. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu njoo pm tang'ana said: njoo tuvune alizeti huku kibaigwa mkuu. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
MACP The Dealer New Member Aug 10, 2020 2 0 Aug 11, 2020 #7 Pole sana kijana, usikate tamaa ipo njiani. Tunatoa mafunzo BURE jinsi ya kuwa mshirika masoko (affiliate marketers). Karibu sana
Pole sana kijana, usikate tamaa ipo njiani. Tunatoa mafunzo BURE jinsi ya kuwa mshirika masoko (affiliate marketers). Karibu sana