Natafuta kazi yeyote, Nina shahada ya Ualimu

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
461
644
Wakuu habarini!

Mimi ni kijana kwenye umri miaka 27 elimu yangu ni shahada ya uwalimu ..nilihitimu mwaka 2018.

Nipo mbele yenu kutafuta kazi yeyote ile ili niweze kuishi katika kipindi hiki cha janga hili la corona..

Mtu yeyote mwenye kazi naomba aniambie kwa sibagui kazi ...kazi yeyote naweza kufanya.

Msaada wakuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kijana, usikate tamaa ipo njiani. Tunatoa mafunzo BURE jinsi ya kuwa mshirika masoko (affiliate marketers). Karibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom