Natafuta kazi yeyote halali

Natafuta kazi yeyote halali

Account1

Member
Joined
Sep 10, 2020
Posts
20
Reaction score
20
Habari wakuu..
Natafuta kazi yeyote halali hata ya ndani
Elimu yangu ni form six
Ni mzoefu wa mambo ya uchenjuaji dhahabu
Jinsia ni ke
Umri 26
Mshahara naomba angalau uwe 150,000+
Iwe Mwanza au Geita
Asanteni
 
Habari wakuu..
Natafuta kazi yeyote halali hata ya ndani
Elimu yangu ni form six
Jinsia ni ke
Umri 25
Mshahara naomba angalau uwe 150,000+
Iwe mwanza au geita
Asanteni
Wadau watakuja, Mungu atakusaidia utapata kazi
 
Habari wakuu..
Natafuta kazi yeyote halali hata ya ndani
Elimu yangu ni form six
Jinsia ni ke
Umri 25
Mshahara naomba angalau uwe 150,000+
Iwe Mwanza au Geita
Asanteni
Heee namba yako pm
 
Habari wakuu..
Natafuta kazi yeyote halali hata ya ndani
Elimu yangu ni form six
Jinsia ni ke
Umri 25
Mshahara naomba angalau uwe 150,000+
Iwe Mwanza au Geita
Asanteni
ipo kazi ya kuuza staionary Moshi , malio hayatazidi laki moja ila utapatiwa sehemu ya kuishi, kama upo tayari tuwasiliane -0717157640
 
Back
Top Bottom