Natafuta kazi ya uwalimu kwa mkataba

Natafuta kazi ya uwalimu kwa mkataba

Rabubu

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
8
Reaction score
2
Mim ni mwalimu mhitimu wa shahada kutoka chuo kikuu cha Dar es salaamu , katika masomo ya English language and history.na uzoefu wa miaka miwili kufundisha Literature in English,English language and history, kidato cha kwanza had cha sita.Mshahara kuanzia laki 7 na makazi,npo tayari sehemu yoyote hapa Tanzania,huduma stahiki kama maji na umeme ni muhumu,kwa mwenye uhitaji ani Pm.
 
Mbona umekat tamaa mwlimu? hutaki kazi za kawambwa au ukilala unaota tandahimba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom