francis isack wakwetu
Member
- Sep 10, 2016
- 8
- 2
Mi nimhitimu wa koei ya uuguzi ngazi ya cheti nimehitimu mwaka. 2015 niko tayar kufanya kazi popote iwe Tanzania au nje na Tanzania
Tumejipa moyo andi tumechoka mwaka mzima sasa toka tuhitimuKuwa mvumilivu,ajira zitatoka tu