falsafa huru
Member
- Oct 20, 2018
- 6
- 1
Habarini ndugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 niliyehitimu kozi ya utoaji dawa (pharmacrutical dispenser) mwaka 2015 na kufanikiwa kufanya field na ajira katika hospitali binafsi kwa muda wa miaka miwili. Natumia fursa hii kutangaza nia yangu ya kupata ajira kwenye duka la dawa au zahanati hata hospitali kwa kitengo cha utoaji dawa. Naomba kwa yeyote mwenye uhitaji wa kijana wa kazi au anayejua fursa ilipo asisite kunipa taarifa kwa namba 0763460022/0677268665
Natanguliza shukrani kwenu wakuu
Natanguliza shukrani kwenu wakuu