Natafuta kazi ya usimamizi wa mradi wa ufugaji Samaki

Nami naunagana na watanzania wenzangu katika maombolezo ya ndugu zetu, Mungu awape pumziko la milele #Msiba_wa_Taifa
 
Mkuu umeshawahi kufanya Kazi kwenye mradi wowote? Pia vema ukajipanga na kutafuta partner na wewe ukawa mmiliki wa mradi ata kwa kuwa na complete plan yenye production, sales and distribution,management na hapa kwenye JF ukatafuta partners wa kuwezesha financing. Mimi binafsi ninapenda mtu wa kushirikiana naye ila naye awe na sense of ownership sio kumuajiri bila yeye kutochangia ideas wala fund. If you have an idea ambayo inaweza kutekelezwa mikoa ya Tanga au Pwani au Moro au Dsm au Lindi au Mtwara Tafadhali tuwasiliane PM
 
Nimewahi kuwa msimamizi na mwelekezaji wa miradi kazaa.
Kuhusu swala la kua na partner ni jambo jema ila changamoto niliyonayo kitu pekee nilicho nacho na wazo na utalaam wa mradi ila sina laslimari zingine
 
Mimi naomba uje uniangalizie nataka kutengeneza bwawa dogo la samaki nyumbani Dar
 
Ndugu zangu mim ni mhitimu Stashahada ya mambo ya uvuvi kutoka chuo cha uvuvi nyegezi Mwanza. Kama kuna mtu anamradi wa ufugaji Samaki au angependa kufuga Samaki anaweza kuwasiliana nami kwa 0783 686643. Nipo Dar, natanguliza shukrani kwenu.
Njoo maeneo ya mwasonga ndo kuna watu wengi wamewekeza hiyo miradi! Ukiwatembelea itasaidia zaidi na kuona jinsi ambavyo upo tayari na kazi hizo
 
Back
Top Bottom