Natafuta Kazi ya Usalama wa Taifa

Hahaha uwezo wa kuhisi na kunusa?!!!!

Unaweza upewe kitengo cha laboratory kama kipo
 
vijana msikate tamaa ni kweli wanachukuliwa JKT,CCP na hata Kiwira unaweza ukachaguliwa kwenda polisi na siku unamaliza depo ukateuliwa kwenda huko

nb.kuwa mvumilivu usiwe mtu wa kusitasita ukiambiwa fanya hivi wewe fanya,usipende kuwategea wenzako jitume muda wote unapokuwa depo

Mbona wapo ambao hawajapitia JKT na CCP au kwavile unaowajua walipotia huko basi umefunga milango mingine!?
 
mkuu,wapo wengi tu ambao hawapitia huko lakini nafasi huwa ni finyu kwenda direct si unajua kibongobongo
 
vijana msikate tamaa ni kweli wanachukuliwa JKT,CCP na hata Kiwira unaweza ukachaguliwa kwenda polisi na siku unamaliza depo ukateuliwa kwenda huko

nb.kuwa mvumilivu usiwe mtu wa kusitasita ukiambiwa fanya hivi wewe fanya,usipende kuwategea wenzako jitume muda wote unapokuwa depo

Umeonyesha moyo wa upendo, si mara zote ila nackia wanapita sehemu hizo kutafuta vijana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom