usalama wa taifa sio hivo tu. wana vigezo vingi mkuu. btw nasikia wanachukulia watu depo jkt. kwahiyo anza stage 1, kufight kwenda jkt, ndio tuendelee.
hafu kunusa sidhani kama ni kigezo. maana kunabwa wa cops wako trained n hizo mission. wao wananusa madawa, au kumtafuta mtuhumiwa alieescape.
kuhisi unamaanisha nini? una machale au? unaweza kuhisi kwamba magaidi wanataka teka supermarket flani? au unazungumzia kuhisi kivipi bro.
pia mkuu, usikate tamaa. TISS sio kama vitengo vingine, limit yao ya miaka ni kubwa, kikubwa uwe umepitia jkt.
wengi tunatamani sana mkuu. suti nyeusi, sun glasses, kunja sura kunjua moyo hadi raha. ndio maana ata matapeli wengi wanajiita tiss.