Natafuta Kazi Ya Usafi

Angel Suzie

Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
68
Reaction score
15
Mscahana nzuri sana miaka 23 anaitwa Mary, amepata Mafunzo ya Housekeeping kwenye kampuni, anatafuta kazi ya Housekeeping. 0682010010
 
Kama ana cheti cha usafi aombe kazi bandarini, office attendant. Ila la kuleta mambo ya uzuri wengine tunachukia ,hata morali ya kumsaidia inaondoka. Who is mzuri?
 
Mzuri??May be alimaanisha ni mchapakazi maana kiswahili kigumu eti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…