Mkuu.....ukimsaidia kazi mtoto wa kike hata siku ukikutana naye njiani atakuruka hakujui ngoja nipite nisiseme neno
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Tangazo lako limenichekesha?
Unatafuta kazi au mume?
Kutoolewa kumekujaje hapo?
Utapata vyote unavyohitaji ila uwe tayari .
Halafu kazi yenyewe inatafutwa jukwaa la MMU.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo maana mnapigwa kama wez na kina mwalimu Frank sasa x badala s ndo nin hivi uko kidato cha ngapiXixter kuna hoxptal moja apa mby njoooo kaz ipo ila uje na vyet vyako
Huyo ndio shem wamkoani hahahahahaha ama kweli bado mna safari ndefu hadi mje kujitambua.......lolYou look so cute jamani,jibu PM zangu please!!.........Yaani ulivyo cute ukijibu PM zangu nakupa hela!
Wewe ndio msemaji wake au umeamua tu kuandika?Wewe unaweza kuwa shem wangu?Jitambue ww afu c tufatee
Jitambue ww afu c tufatee
Na bae wakooNananiii
Na hauwezi kuelewa kama hautujuiMbon silewii
Ghafla nimeshika tama hapa, naona kama upepo wa KAZI umeanza kuvumia MMU.Mapovu yameanza hapa hakuna mtafuta kaz sema vizur kilichokuleta humu
Na hauwezi kuelewa kama hautujui
Mkuu unatafuta kazi ya uness au kazi ya kutoka na Baba wa mtuSio Shem naweza pia kuwa mama ako mdogo yaan nikatoka na baba ako
Kujulikana leo kuwa kaka ni mwanaume wa Dar basi imekuwa nongwa![emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyo ndio shem wamkoani hahahahahaha ama kweli bado mna safari ndefu hadi mje kujitambua.......lol