Charles Phaustine Member Joined Mar 19, 2018 Posts 5 Reaction score 2 Mar 21, 2018 #1 mimi ni kijana wa miaka 25 ninatafuta kazi ya ulinzi .elimu yangu form 6 pia nimepita mfunzo ya jkt .jamani wadau msaada kwenu.
mimi ni kijana wa miaka 25 ninatafuta kazi ya ulinzi .elimu yangu form 6 pia nimepita mfunzo ya jkt .jamani wadau msaada kwenu.
Jum Records JF-Expert Member Joined Jun 30, 2014 Posts 547 Reaction score 559 Mar 21, 2018 #2 Utakubali mshahara 120,000 kwa mwezi? Nauli yako kula jioni kwangu
Charles Phaustine Member Joined Mar 19, 2018 Posts 5 Reaction score 2 Mar 21, 2018 Thread starter #3 fanya 200,000
Tairus JF-Expert Member Joined Mar 13, 2013 Posts 680 Reaction score 1,068 Mar 21, 2018 #4 Saa Mbovu Master said: Utakubali mshahara 120,000 kwa mwezi? Nauli yako kula jioni kwangu Click to expand... Mpe nauli bhana..sio poa!!
Saa Mbovu Master said: Utakubali mshahara 120,000 kwa mwezi? Nauli yako kula jioni kwangu Click to expand... Mpe nauli bhana..sio poa!!
kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,590 Reaction score 1,357 Mar 21, 2018 #5 nenda G4S wanapokea maombi
Charles Phaustine Member Joined Mar 19, 2018 Posts 5 Reaction score 2 Mar 21, 2018 Thread starter #6 kalipeni said: nenda G4S wanapokea maombi Click to expand... wanapatikana wap?? kwa mm nipo dar maeneo ya tabata
kalipeni said: nenda G4S wanapokea maombi Click to expand... wanapatikana wap?? kwa mm nipo dar maeneo ya tabata
Bonde la Baraka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 4,580 Reaction score 7,955 Mar 22, 2018 #7 Nitakutafuta, kutakuwa na nafasi job kwetu baada ya mda fulani, sijajua bado lini itatokea hiyo chance. Vigezo unavyo ila hautaingia direct, patakuwa na short interview kwa applicants wachache.
Nitakutafuta, kutakuwa na nafasi job kwetu baada ya mda fulani, sijajua bado lini itatokea hiyo chance. Vigezo unavyo ila hautaingia direct, patakuwa na short interview kwa applicants wachache.