N Ngulutu Member Joined Apr 11, 2022 Posts 29 Reaction score 25 Jun 30, 2024 #1 Bila kupoteza muda Mimi in mkemia Wa dhahabu kwenye upande Wa plant Natafuta kazi kwenye chimbo lolote hata nikianza nikiwa chini ya mkemia mwengine sawa( wakemia wenzangu mniunge kwenye kazi) location: nipo kahama
Bila kupoteza muda Mimi in mkemia Wa dhahabu kwenye upande Wa plant Natafuta kazi kwenye chimbo lolote hata nikianza nikiwa chini ya mkemia mwengine sawa( wakemia wenzangu mniunge kwenye kazi) location: nipo kahama
Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 2,203 Reaction score 4,734 Jun 30, 2024 #2 Ngulutu said: Bila kupoteza muda Mimi in mkemia Wa dhahabu kwenye upande Wa plant Natafuta kazi kwenye chimbo lolote hata nikianza nikiwa chini ya mkemia mwengine sawa( wakemia wenzangu mniunge kwenye kazi) location: nipo kahama Click to expand... Ulishawahi fanya hata kidogo
Ngulutu said: Bila kupoteza muda Mimi in mkemia Wa dhahabu kwenye upande Wa plant Natafuta kazi kwenye chimbo lolote hata nikianza nikiwa chini ya mkemia mwengine sawa( wakemia wenzangu mniunge kwenye kazi) location: nipo kahama Click to expand... Ulishawahi fanya hata kidogo
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,229 Reaction score 40,094 Jun 30, 2024 #3 Nenda Geita kuna plant kibao
N Ngulutu Member Joined Apr 11, 2022 Posts 29 Reaction score 25 Jun 30, 2024 Thread starter #4 Siri yangu said: Ulishawahi fanya hata kidogo Click to expand... Ndio nimefanya kwa kuanzia mwezi Wa kumi 2022 nikatoka mwezi Wa tano 2023 baada ya hapo nikawa nafanya Mara moja moja
Siri yangu said: Ulishawahi fanya hata kidogo Click to expand... Ndio nimefanya kwa kuanzia mwezi Wa kumi 2022 nikatoka mwezi Wa tano 2023 baada ya hapo nikawa nafanya Mara moja moja