Ulishawahi fanya hata kidogoBila kupoteza muda
Mimi in mkemia Wa dhahabu kwenye upande Wa plant
Natafuta kazi kwenye chimbo lolote hata nikianza nikiwa chini ya mkemia mwengine sawa( wakemia wenzangu mniunge kwenye kazi)
location: nipo kahama
Ndio nimefanya kwa kuanzia mwezi Wa kumi 2022 nikatoka mwezi Wa tano 2023 baada ya hapo nikawa nafanya Mara moja mojaUlishawahi fanya hata kidogo