Rose piere
Member
- Feb 13, 2017
- 19
- 12
Mimi ni mdada nina miaka 27 ninaishi Ubungo Dar es Salaam, Nina diploma ya Ukatibu muhtasi niliyopata pale chuo cha Utumishi wa umma.Natafuta nafasi ya kazi kama Secretary katika ofisi au nafasi ya kufundisha kozi hiyo katika chuo binafsi.
Ahsanteni.
Ahsanteni.