Natafuta kazi ya UHASIBU.

Natafuta kazi ya UHASIBU.

GJHariohay

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
1,041
Reaction score
1,161
Wanabodi habari.....

Kama kichwa cha somo ilivyoeleza hapo juu. Nimeona niliweke hapa labda mmoja wa wanajukwaa anaweza kunisaidia. Nina qualifications zote, atakaeguswa naomba asisite kuja dm. Hata kwa ushauri na kubadilishana mawazo, Maisha ni kusaidiana, Ahsanteni sana, Mbarikiwe
 
all the best, ila haujaelezea kwa undani hizo qualifications zote. jitahidi kuelezea.naamini wapo wadau watakusaidia
 
Back
Top Bottom