Natafuta kazi Ya uhasibu

Natafuta kazi Ya uhasibu

Big5

Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
34
Reaction score
14
Ndugu zangu wapendwa, Natafuta kazi ya uhasibu ofisi yeyote hasa mkoa wa Arusha nipo tayari kuanza wakati wowote.
 
Tanesco wametangaza sana nafasi mwezi huu ukuhona matangazo???
 
Ndugu zangu wapendwa, Natafuta kazi ya uhasibu ofisi yeyote hasa mkoa wa Arusha nipo tayari kuanza wakati wowote.
Tanzania Investment Bank wametangaza nafasi kibao hebu jaribu huko! Usiseme kwamba lazima kazi iwe arusha tu!

Pia unaweza piga hata sales cha msingi uweze kua na kipato tu
 
Kwann kwenye profile umejiita big5 wakat unajina zuri tu lakike la Stella
 
Tanzania Investment Bank wametangaza nafasi kibao hebu jaribu huko! Usiseme kwamba lazima kazi iwe arusha tu!

Pia unaweza piga hata sales cha msingi uweze kua na kipato tu
Asante sana mkuu, napendelea Arusha kwani ninayo familia na bado changa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom