Natafuta kazi ya uhasibu Morogoro

Natafuta kazi ya uhasibu Morogoro

ingia zoomtanzania Mzumbe wametangaza kazi na ujaribu u never know!
 
kama una ajira tayari unataka tu parttime sawa ila kama huna kabisaaaa ndo unatafuta wewe ni msomi hewa unapanga eneo lakufanyia kazi kabisaaa? una mgonjwa hapo ambaye huwezi muacha?
 
Heshima kwenu wa kuu, natafuta kazi ya uhasibu part time kwa kampuni, taasisi iliyopo morogoro.

PART TIME ??? HIVI WW UNAUJUA UHASIBU AU ???? YAAN PART TIME KABISA ...???? LABDA KWA VIJITAASISI VIDOGO SANA. MAY BE DUKA LA KAWAIDA KABISA
 
PART TIME ??? HIVI WW UNAUJUA UHASIBU AU ???? YAAN PART TIME KABISA ...???? LABDA KWA VIJITAASISI VIDOGO SANA. MAY BE DUKA LA KAWAIDA KABISA

Usitoke mapovu mkuu, maisha unaamua muhusika, enzi za kuomba kazi huku unatetemeka zimepita.
 
Back
Top Bottom