Natafuta Kazi ya ufundi umeme

Natafuta Kazi ya ufundi umeme

Joined
Feb 9, 2014
Posts
11
Reaction score
2
Jamani maisha bila kazi ni noma natafuta kazi ya kufanya mimi proffesinal yangu ni maswala ya Umeme naweza funga umeme na pili naweza tumia computer fresh sana kama ni microsoft zote nazijua adobe page maker na mambo mengine mengi kama kuna kazi ata hapo mtaani kwenu nishtue basi kwa sasa sichagui kazi plz naombeni huo msaada wa kupata kazi wajamen
ukipata waweza nitafuta kwa number 0717259355 asante sana.
 
kirahisi rahisi namna hiyo!
 
pole sana mkuu
Muombe MUNGU akusaidie pia
 
Back
Top Bottom