Natafuta Kazi ya Ufundi umeme

Natafuta Kazi ya Ufundi umeme

Joined
Jul 19, 2017
Posts
26
Reaction score
4
jamani msaada wana Jf wenzangu, natafuta kazi ya ufundi umeme tanesco.
elimu yangu ni kidato cha nne
taaluma ni fundi umeme.
Mawasiliano 0655627744
0621058954 nipo kibaha mailimoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri tanesco watangaze ajira kwa mujibu wa sheria halafu uombe, mi nilidhani unatafuta deal za kuweka waya kwenye majumba ya watu
 
Back
Top Bottom