Natafuta kazi ya Udereva

MangstarClassic

New Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo ya Serikalini na sector binafsi. Nimesoma kwenye chuo kilicho sajiliwa na VETA jijini Dar es salaam.

Utunzaji wa gari kwangu mimi ni wa uhakika, na pia nina uwezo wa ufundi daraja la kwanza.

Wasiliana na mimi kwa namba: 0789 316 071 au kwenye
E-mail: Classicmangstar@gmail.com
 

Kuna kazi zimetangazwa Mpanda-Katavi nafasi nane za udereva!Apply au nitaweka attachment kesho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…