Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

frank dux

Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Habari zenu wadau,mimi ni kijana,nipo dar natafuta kazi ya udereva,nina cheti cha form six,ufaulu ni division III,Nina 2 principal pass,1subsidiary,certificate of attendance ya computer maintanace&repair(Ardhi university),certificate in teaching education for licenced teacher,Driving certificate(city driving school),certificate in in web designing(New horizons,Dar es salaam),pia nina driving licence class.E(A,B,D&E).nina uzoefu wa miaka zaidi ya 3 katika udereva.kwa yeyote anayeweza kunisaidia namba yangu ni 0768 499 181.wapo walionipigia ila walitaka niwatumie kwanza pesa kwa njia ya simu,na hawakua tayari kukutana na mimi face 2face,kitu ambacho mimi siwezi kufanya.mtu humfahamu,hana ofice eti umtumie hela,haikuniingia akilini.Asanten.
 
Mungu atamsaidia atapata afu atamuendesha Mbunge mwenye elimu ya msingi.

'si ndio mana walikuwa wanacheza kitorondo na kukatika viuno bungeni yote kwa ajili ya shangwe za kuwapitisha vilaza mkuu ukijua kusoma tu na kuandika unakaa hata miaka hamsini ndani ya bunge na wala sio vipindi vitatu mkuu kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake mkuu'
 
Fanya uende kwenye makampuni au taasisi binafsi ukajaribu kuomba ajira huko
 
Fanya uende kwenye makampuni au taasisi binafsi ukajaribu kuomba ajira huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom